Papa Gregori II

Mt. Gregori II.

Papa Gregori II alikuwa papa kuanzia 19 Mei 715 hadi kifo] chake tarehe 11 Februari 731.

Alimfuata Papa Konstantino akafuatwa na Papa Gregori III.

Anaheshimiwa kama mtakatifu katika tarehe tofauti za Februari.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.