Roger Schutz

(Elekezwa kutoka Bruda Roger Schutz)

Bruda Roger Schutz (jina kamili lilikuwa Roger Louis Schütz-Marsauche), aliyezaliwa huko Provence (Uswisi) tarehe 12 Mei 1915 na kuuawa na kichaa huko Taizé (Ufaransa) tarehe 16 Agosti 2005, alikuwa mchungaji aliyejifanya mmonaki na kuanzisha jumuia ya kitawa ya kiekumeni huko Taize ambayo aliiongoza hadi kifo chake.

Mtawa Roger Schutz (1991)

Maandishi yake

hariri
  • Livres :
    • Vivre l'aujourd'hui de Dieu (1960)
    • L'unité espérance de vie (1962)
    • Dynamique du provisoire (1965)
    • Unanimité dans le pluralisme (1966)
    • Violence des pacifiques (1969)
    • Ta fête soit sans fin (1971)
    • Lutte et contemplation (1973)
    • Vivre l'inespéré (1974)
    • Étonnement d'un amour (1979)
    • Passion d'une attente (1985)
    • Fleurissent tes déserts (1987)
    • Son amour est un feu (1988)
    • Amour de tout amour (1990)
    • En tout la paix du cœur (1998)
    • Les Sources de Taizé (2001)
    • Dieu ne peut qu'aimer (2001)
    • Pressens-tu un bonheur ? (2005)
    • Choisir d'aimer – Frère Roger de Taizé 1915-2005 (2006)
  • Pia alichangia :
    • Taizé comme à une source..., kilitolewa na Vladimir Sichov, (1989)
    • Marie, mère des réconciliations (1987), alikiandika pamoja na Mama Teresa
    • La prière, fraîcheur d'une source (1998), alikiandika pamoja na Mama Teresa
    • Mère Teresa : Une vie où la charité demeure, Christian Feldmann, (2002) alimoandika dibaji

Tazama pia

hariri

Jumuia ya Taize

Marejeo

hariri
  • Kathryn Spink, La vie de frère Roger, Fondateur de Taizé, Seuil (1998)
  • Yves Chiron, Frère Roger : 1915-2005 : fondateur de Taizé, Perrin, Paris, 2008,
  • Jean-Claude Escaffit et Moïz Rasiwala, Histoire de Taizé, Seuil, (2008)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.