Elizabeti wa Ureno
Elizabeti wa Ureno (anayejulikana pia kama Isabela Perez au Isabela wa Aragona; Saragoza, Hispania, 4 Januari 1271 - Estremoz, Ureno, 4 Julai 1336) alikuwa malkia wa nchi hiyo (1282-1325) kabla hajaanzisha jumuia ya kitawa ya Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko karibu na monasteri ya Waklara.

Muujiza wa mawaridi ulivyochorwa na Valerio Castello, 1650 hivi.

Mchoro wa Petrus Christus, 1460 hivi, ukimuonyesha Isabela wa Aragona na jamaa yake mtakatifu Elizabeti wa Hungaria.
Alitangazwa na Papa Urban VIII kuwa mtakatifu tarehe 25 Mei 1625.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
MarejeoEdit
- Ferreira, João (2010), Histórias Rocambolescas da História de Portugal [Fantastic Stories of the History of Portugal] (6 ed.), Lisbon, Portugal: A Esfera dos Livros, ISBN 978-989-626-216-7
- Hoever, Hugo, ed. (1955), Lives of the Saints, For Every Day of the Year, New York, New York: Catholic Book Publishing Co., p. 511
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Saint Elizabeth, Queen of Portugal", Butler's Lives of the Saints
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |