Eneo bunge la Maragua
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Maragua)
Eneo bunge la Maragua ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge saba katika Kaunti ya Murang'a.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Peter Kamande Mwangi | Democratic Party (DP) | |
2002 | Elias Mbau | NARC | |
2007 | Elias Mbau | PNU |
Wadi
hariri' | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya Mtaa |
---|---|---|
Gakoigo | 4,479 | Mji wa Maragua |
Ichagaki | 4,480 | Mji wa Maragua |
Mbugua | 2,106 | Mji wa Maragua |
Samar | 1,626 | Mji wa Maragua |
Kambiti | 4,632 | Mji wa Makuyu |
Kirimiri | 4,167 | Mji wa Makuyu |
Makuyu | 9,497 | Mji wa Makuyu |
Wempa | 3,408 | Mji wa Makuyu |
Kamahuha / Maranjau | 10,113 | Baraza la Mji wa Maragua |
Maragua Ridge | 2,516 | Baraza la Mji wa Maragua |
Nginda | 7,871 | Baraza la Mji wa Maragua |
Jumla | 54,895 | |
*Septemba 2005| [2] |
Marejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Maragua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |