Eneo bunge la Ol Kalou

(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Ol Kalou)


Eneo bunge la Ol Kalou ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Nyandarua.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Karue Muriuki DP
2002 Karue Muriuki NARC
2007 Erastus Kihara Mureithi PNU
Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Mamlaka ya Mtaa
Gichungo 3,275 Mji wa Ol Kalou
Kaimbaga 2,576 Mji wa Ol Kalou
Olkalou 7,732 Mji wa Ol Kalou
Olkalou Central 5,380 Mji wa Ol Kalou
Rurii 3,867 Mji wa Ol Kalou
Dundori 12,052 Baraza la Mji wa Nyandarua
Gathanji 10,440 Baraza la Mji wa Nyandarua
Gatimu 5,965 Baraza la Mji wa Nyandarua
Kanjuiri Ridge 7,942 Baraza la Mji wa Nyandarua
Ol Joro Orok / Kasuku 12,387 Baraza la Mji wa Nyandarua
Jumla 71,616
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo

hariri