Eneo bunge la Butula


Eneo bunge la Butula ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili hupatikana katika kaunti ya Busia, magharibi mwa Kenya, miongoni mwa majimbo saba katika kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Lina wodi nne ambazo huwachagua madiwani kwa baraza la Busia County.

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1997.

Wabunge

hariri
Uchaguzi MP [1] Chama Vidokezo
1997 Yekoyada F. O. Masakhalia KANU
2002 Christine Abungu Mango NARC
2007 Alfred Odhiambo ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Wliojisajili
Marachi Central 9,245
Marachi East 8,671
Marachi North 9,762
Marachi West 7,951
Jumla 35,629
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri