Eneo bunge la Funyula
Eneo bunge la Funyula ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997. Aliyekuwa Makamu wa Rais Moody Awori alikuwa akiliwakilisha jimbo hili. Kabla ya kuanzishwa kwa jimbo hili aliwahi kuwakilisha majimbo ya Uchaguzi ya Busia Kusini na Samia.[1].
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Moody Awori | KANU | |
2002 | Moody Awori | NARC | |
2007 | Paul Otuoma | ODM |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Bwiri | 5,552 | Busia county |
Funyula North | 9,056 | Busia county |
Funyula South | 9,207 | Busia county |
Namboboto | 3,381 | Funyula (Mji) |
Nangina | 2,220 | Funyula (Mji) |
Odiado | 1,044 | Funyula (Mji) |
Wakhungu | 1,493 | Funyula (Mji) |
Jumla | 31,953 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Funyula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |