Eneo bunge la Kacheliba
Eneo la bunge la Kacheliba ni moja ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo manne ya Kaunti ya Pokot Magharibi. Jimbo hili lina wodi 11, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la kaunti.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Samuel Poghisio | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1990 | Peter L. Nang’ole | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja. |
1992 | Peter L. Nang’ole | KANU | |
1997 | Samuel Poghisio | KANU | |
2002 | Samuel Poghisio | KANU | |
2007 | Samuel Poghisio | ODM |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Akoret | 2,329 |
Alale | 7,987 |
Chemorongii | 1,824 |
Kalapata | 3,045 |
Kapchok | 5,150 |
Kaptolomwo | 2,842 |
Kasei | 4,503 |
Kases | 4,818 |
Kiwawa | 7,129 |
Kodich | 5,946 |
Kopulio | 1,841 |
Korpu | 2,927 |
Lokichar | 5,063 |
Lokitanya | 9,740 |
Lopet | 2,000 |
Suam | 7,035 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Akoret | 545 |
Chemorongit | 366 |
Kalapata | 1,990 |
Kapchok | 1,975 |
Kasei | 1,795 |
Kases | 864 |
Kiwawa | 1,879 |
Kodich | 3,130 |
Lokitanyala | 1,689 |
Lopet | 1,274 |
Suam | 3,155 |
Total | 18,662 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kacheliba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |