Eneo bunge la Kilome
Eneo bunge la Kilome ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi tatu, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Makueni County. Mji wa Sultan Hamud umo katika jimbo hili la uchaguzi.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo la Kilome lilibuniwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Gervais Mutunga Maingi | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Anthony Wambua Ndilinge | KANU | |
1997 | Anthony Wambua Ndilinge | KANU | Ndilinge aliuawa mnamo 2001 |
2001 | John Mutinda Mutiso | KANU | Uchaguzi mdogo |
2002 | John Mutinda Mutiso | NARC | |
2007 | John Harun Mwau | PICK |
Kata na Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Kalanzoni / Kiima Kiu | 9,634 |
Kasikeu | 14,857 |
Mukaa / Kitaingo | 11,437 |
Jumla | 35,928 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kilome kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |