Eneo bunge la Kuresoi

Eneo bunge la Kuresoi lilikuwa mojawapo ya majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili lilipatikana katika Wilaya ya Nakuru katika Mkoa wa Bonde la Ufa.

Kwa sasa limegawanywa kati ya eneo bunge la Kuresoi Kaskazini na eneo bunge la Kuresoi Kusini.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 James Cheruiyot arap Koske KANU
2002 Moses Kipkemboi Cheboi KANU
2007 Zakayo Cheruiyot ODM

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya watu*
Amalo 7,899
Chebara 4,037
Chemaner 7,314
Cheptuech 4,331
Emitik 4,581
Kamara 8,535
Kaplamai 8,946
Kapsibeiywo 4,977
Kaptagich 10,773
Keringet 10,614
Kipsonoi 4,069
Kiptororo 14,561
Kuresoi 16,241
Mau Summit 21,170
Mkulima 9,598
Nyota 16,314
Silibwet 3,417
Sinindet 4,107
Sirikwa 12,576
Temoyetta 12,652
Tinet 9,598
Tulwet 11,521
Total x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mji
Amalo 2,652 Nakuru County
Chemaner 2,375 Nakuru County
Cheptuech 3,543 Nakuru County
Kamara 2,537 Nakuru County
Kaplamai 3,167 Nakuru County
Kapsibeiywo 4,639 Nakuru County
Keringet 4,978 Nakuru County
Kiptangich 5,022 Nakuru County
Kiptororo 4,756 Nakuru County
Koige 7,536 Molo (Mji)
Kuresoi 5,398 Nakuru County
Mkulima 5,974 Nakuru County
Nyota 5,500 Nakuru County
Sirikwa 4,032 Molo town (Mji)
Temoyetta 3,836 Nakuru County
Tinet 5,350 Nakuru County
Jumla 71,295
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri