Eneo bunge la Masinga

Eneo bunge la Masinga ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo nane katika Kaunti ya Machakos. Jimbo hili lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Masaku County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge Chama Vidokezo
1988 Simon Kitheka Kiilu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Ronald John Kiluta KANU
1997 Ronald John Kiluta KANU
2002 Benson Itwiku Mbai NARC
2007 Benson Itwiku Mbai ODM-Kenya

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu
Ekalakala 12,406
Ikaatini 7,424
Kangonde 15,971
Kithyoko 17,821
Kivaa 18,797
Mananja 11,754
Masinga 18,186
Muthesya 14,145
Ndithini 13,466
Jumla 129,970
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Ekalakala / Ikaatini 6,787
Kangonde 5,135
Kithyoko 5,617
Kivaa 6,116
Masinga 6,067
Muthesya 4,484
Ndithini / Mananja 8,005
Jumla 42,211
*Septemba 2005

Tazama Pia

hariri

Tanbihi

hariri