Eneo bunge la Mlima Elgon


Eneo bunge la Mlima Elgon ni mojawapo ya Majimbo ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Bungoma, Magharibi mwa nchi.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Daniel Naibei Chepnoi Moss KANU
1969 Daniel Naibei Chepnoi Moss KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Daniel Naibei Chepnoi Moss KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Wilberforce arap Kisiero KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Wilberforce arap Kisiero KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Wilberforce arap Kisiero KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Wilberforce arap Kisiero KANU
1997 Joseph N. Kimkung KANU
2002 John Bomet Serut KANU
2007 Fred Kapondi ODM

Jimbo hili lina wodi 11, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la Mt. Elgon County.

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Chemoge 4,458
Chepkube 2,915
Cheptais 4,532
Chepyuk 5,113
Chesikak 6,793
Chongeywo 3,190
Elgon 5,197
Emmia 4,269
Kapkateny 3,338
Kaptama 5,453
Namorio 4,911
Jumla 50,169
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri