Eneo bunge la Mvita


Eneo bunge la Mvita ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni mojawapo ya Majimbo manne katika Kaunti ya Mombasa. Eneo lote la Jimbo hili iko chini ya Baraza la munisipali ya Mombasa.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Shariff Nassir.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Shariff Nassir KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Shariff Nassir KANU
1997 Shariff Nassir KANU
2002 Najib Balala NARC
2007 Najib Balala ODM

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Majengo 40,241
Railway 9,527
Tononoka 29,044
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Bondeni 9,352
King'orani 7,471
Majengo 18,272
Mwembe Tayari 11,576
Shimanzi 10,134
Tononoka 9,049
Jumla 65,854
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Tanbihi

hariri