Eneo bunge la Mwingi Kusini
Eneo bunge la Mwingi Kusini ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hilo linapatikana katika kaunti ya Kitui, miongoni mwa majimbo nane ya kaunti hiyo iliyoko Mashariki mwa Kenya.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | David Musila | KANU | |
2002 | David Musila | NARC | |
2007 | David Musila | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | idadi ya Watu* |
---|---|
Kalitini | 7,689 |
Kiomo | 18,391 |
Kyome | 11,312 |
Migwani | 21,180 |
Mui | 10,544 |
Mumbuni | 15,462 |
Mutyangome | 6,286 |
Nguutani | 19,285 |
Nuu | 9,023 |
Thitani | 15,539 |
Ukasi | 12,951 |
Wingemi | 9,707 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Katalwa / Nzeluni | 4,950 | Mwingi (Mji) |
Kavuvwani | 4,441 | Mwingi (Mji) |
Kyethani / Kiomo | 6,449 | Mwingi (Mji) |
Kalitini / Mui | 7,023 | Mwingi county |
Kyome | 3,912 | Mwingi county |
Mutyangome | 1,954 | Mwingi county |
Nguutani | 6,210 | Mwingi county |
Nuu | 3,203 | Mwingi county |
Thitani | 5,703 | Mwingi county |
Ukasi | 4,678 | Mwingi county |
Wingemi | 3,289 | Mwingi county |
Jumla | 59,527 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Mwingi South Constituency Ilihifadhiwa 7 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.