Eneo bunge la Nambale
Eneo bunge la Nambale ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia nchini Kenya, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Philip J. Wanyama Masinde | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Philip J. Wanyama Masinde | KANU | |
1997 | Chrysanthus Okemo | KANU | |
2002 | Chrysanthus Okemo | KANU | |
2007 | Chrysanthus Okemo | ODM |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Bulanda | 1,839 | Busia (Mji) |
Burumba | 3,996 | Busia (Mji) |
Mayenje | 1,709 | Busia (Mji) |
Mjini | 5,707 | Busia (Mji) |
Kisoko | 2,555 | Nambale (Mji) |
Lwanyange | 1,171 | Nambale (Mji) |
Manyole | 2,314 | Nambale (Mji) |
Tangakona / Khwirale | 4,152 | Nambale (Mji) |
Bukhayo Central | 4,527 | Busia County |
Bukhayo East | 7,029 | Busia County |
Bukhayo North / Walatsi | 5,685 | Busia County |
Matayos North | 11,131 | Busia County |
Matayos South | 9,825 | Busia County |
Jumla | 61,640 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Nambale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |