Eneo bunge la Saku
Eneo bunge la Saku ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, Mashariki mwa nchi. Eneo lote la jimbo hili liko chini ya Baraza la Utawala wa Mitaa la Marsabit County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili liliazishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Jillo Jarso Falana | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Jillo Jarso Falana | KANU | |
1997 | Abdi Tari Sasura | KANU | |
2002 | Abdi Tari Sasura | KANU | Sasura aliaga katika ajali ya angani mnamo 2006 [2]. |
2006 | Hussein Sasura | KANU | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Hussein Sasura | ODM-Kenya |
Kata na wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya watu* |
---|---|
Badasa | 2,898 |
Dakabaricha | 5,119 |
Dirib Gombo | 4,523 |
Karare | 5,445 |
Mountain | 8,943 |
Nagayo | 7,530 |
Qilta | 3,712 |
Sagante | 3,886 |
Songa | 3,498 |
Jumla | 45,554 |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Dakabaricha | 2,714 |
Dirib Gombo | 2,990 |
Karare | 2,486 |
Mountain | 4,763 |
Sagante | 2,930 |
Jumla | 15,883 |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Redorbit.com, 10 Aprili 2006: Kenyan military plane crash kills 11
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Saku kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |