Finiani wa Clonard
Finiani wa Clonard (pia: Finnian, Finian, Fionán, Fionnán, Finianus, Finanus[1][2] ; Myshall, Leinster, 470 - Ross Findchuill, 12 Desemba 549[3]) alikuwa abati mwanzilishi wa monasteri ya Clonard, Ireland, kituo muhimu sana cha Ukristo wa Kikelti, na wa monasteri nyingine mbalimbali, alipolea maelfu ya wamonaki[4][5][6].
Bora kati yao ni Mitume kumi na wawili wa Ireland [7]:
- Kieran wa Saighir
- Kieran Kijana
- Brendan wa Birr
- Brendan Baharia
- Kolumba wa Terryglass
- Kolumba wa Iona
- Berchan
- Ruadan
- Senan
- Ninnidh
- Laisren
- Keneth
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba[8].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Ussher, James (1639). Whole works (kwa Kilatini). Juz. la VI: Britannicarum ecclesiarum antiquitates. Dublin: Hodges & Smith. uk. 472.
- ↑ Ware, James (1658). Hibernicæ antiquitates (kwa Kilatini). London: E. Tyler. uk. 292.
- ↑ Hickey, Elizabeth (1996). The Irish Life of Saint Finnian of Clonard: Master of the Saints of Ireland with a Commentary for the general reader. Meath: Meath Archaeological and Historical Society. uk. 5. ISBN 9780950033273.
- ↑ "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: School of Clonard". www.newadvent.org. Iliwekwa mnamo 28 Machi 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Farmer, David Hugh (1997). The Oxford dictionary of saints (tol. la 4.). Oxford [u.a.]: Oxford Univ. Press. ISBN 0-19-280058-2.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/93212
- ↑
Gratton-Flood, W.H. (1 Machi 1907). "The Twelve Apostles of Erin". The Catholic Encyclopedia. I. New York: Robert Appleton Company. Iliwekwa mnamo 9 Februari 2008.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
hariri- Lives of St Finnian of Clonard
- Irish Life, ed. Whitley Stokes, Lives of the Saints from the Book of Lismore. Oxford, 1890. Vol. 2.
- Latin Life in the Codex Salmanticensis (fos. 83r–86v), ed. J. De Smedt and C. De Backer, Acta Sanctorum Hiberniae ex codice Salmanticensi. Edinburgh et al., 1888. Cols 189–210.
- Latin Life in Bodleian, Rawlinson MS B 485 (fos. 54–8), and Rawlinson B 505 (fos. 156v–160v). Unpublished.
- Elizabeth Hickey: The Irish Life of Saint Finnian of Clonard: master of the saints of Ireland. With a commentary for the general reader. Hrsg.: Meath Archaeological and Historical Society. 1996, ISBN 978-0-9500332-7-3.
Marejeo mengine
hariri- Hughes, Kathleen. "The Cult of St Finnian of Clonard from the Eighth to the Eleventh Century". Irish Historical Studies 9.33 (1954). pp. 13–27.
- MacKillop, James, A Dictionary of Celtic Mythology, Oxford, 1998.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Finiani wa Clonard kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |