Nyanda za Juu za Guyana

(Elekezwa kutoka Guiana Shield)

.

Guiana Shield
Region
Countries French Guiana, Suriname, Guyana, Brazil, Venezuela, Colombia
Continent South America
Region northern South America
Length 2,000 km (1,243 mi), E-W
Width 1,000 km (621 mi), N-S
Area 2,288,000 km² (883,402 sq<span typeof="mw:Entity"> </span>mi)
Period Precambrian
Ramani ya Nyanda za Juu za Guyana.
Ramani ya Nyanda za Juu za Guyana.
Nyanda za Juu za Guyana

Nyanda za juu za Guyana (kwa Kiingereza: Guiana Shield) ni eneo la milima kaskazini mashariki mwa Amerika ya Kusini. Kijiolojia ni miamba ya kale sana inayofanya hapa sehemu ya pwani ya kaskazini ya Amerika Kusini. [1]

Kati ya milima ya sehemu hizi kuna milima ya meza inayoitwa hapa tepuis.

Majina

hariri

Nyanda za juu za Guiana zinajulikana katika lugha nyingine za mazingira kama:

  • Kifaransa: Plateau des Guyanes au Bouclier guyanais;
  • Kiholanzi: Hoogland van Guyana
  • Kihispania: Escudo guayanés au Macizo Guayanés;
  • Kireno: Planalto das Guianas or Escudo Guianês.

Guyana hutumiwa wakati mwingine kama jina la pamoja kwa Guyana, Surinam na Guyani ya Kifaransa; wakati wa ukoloni nchi hizi tatu ziliitwa Guyana ya Kiingereza, ya Kiholanzi na ya Kifaransa.

Jiografia

hariri
 
Cerros de Mavecure, Wilaya ya Guainía, Colombia.

Kijiografia nyanda za juu hizi zinaenea hadi ndani ya Kolombia, Venezuela na Brazil.

Milima

hariri

Nyanda za juu za Guiana huundwa kwa tambarare ndogo za juu na safu za mlima. Milima mirefu zaidi inapatikana upande wa magharibi, kuanzia Venezuela.

Mito na maporomoko ya maji

hariri

Mito mingi huanzia kwenye nyanda za juu za Guyana na nyingi hutiririkia kaskazini, kuingia Bahari ya Atlantiki. Baadhi yake ni:

Marejeo

hariri
  1. David S. Hammond, mhr. (2005). "1 Ancient Land in a Modern World". Tropical Forests of the Guiana Shield (PDF). CAB International. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2017.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyanda za Juu za Guyana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.