Hipoliti wa Roma (170235) alikuwa mwanateolojia muhimu zaidi wa Kanisa la Roma katika karne ya 3. Labda alizaliwa mjini Roma[1], lakini alipendelea kuandika kwa Kigiriki kuliko kwa Kilatini ambacho kilikuwa kinazidi kutumika katika Kanisa hilo badala ya lugha ya kimataifa iliyotumika tangu wakati wa Mitume Petro na Paulo.

Kifodini cha Mt. Hipoliti.

Inasemekana alianza kushindana na mapapa wa wakati wake kuhusu toba ya walioasi katika dhuluma za serikali ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo. Anatajwa kama antipapa wa kwanza kwa kuanzisha farakano [2]. Hata hivyo habari hiyo na nyingine nyingi juu yake hazina hakika.

Hatimaye alipatana na Papa Pontian wakiwa uhamishoni katika kisiwa cha Sardinia walipofia dini yao.

Ndiyo sababu tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini, hasa tarehe 13 Agosti[3] ambayo ndiyo sikukuu yake.

Umuhimu wake

hariri

Maandishi yake yana umuhimu mkubwa upande wa teolojia, wa liturujia na wa sheria za Kanisa vilevile.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Trigilio, John; Brighenti, Kenneth. Saints For Dummies. For Dummies, 2010. p. 82. Web. 20 Apr. 2011.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92196
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Hans Achelis, Hippolytstudien (Leipzig, 1897)
  • Adhémar d'Ales, La Théologie de Saint Hippolyte (Paris, 1906). (G.K.)
  • Bunsen, Hippolytus and his Age (1852, 2nd ed., 1854; Ger. ed., 1853)
  • Cross, F. L. (2005). The Oxford Dictionary of the Christian Church. Oxford University Press. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Döllinger, Hippolytus und Kallistus (Regensb. 1853; Eng. transl., Edinb., 1876)
  • Gerhard Ficker, Studien zur Hippolytfrage (Leipzig, 1893)
  • Froom, Le Roy Edwin (1948). The Prophetic Faith of Our fathers, Vol. 1. Review and Herald Publishing Association. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Hippolytus (170–236). Commentary on Daniel, The Ante-Nicene Fathers, Vol 5. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Hippolytus (170–236b). Treatise on Christ and Antichrist, The Ante-Nicene Fathers, Vol 5. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Hippolytus, The Treatise on the Apostolic Tradition of St. Hippolytus of Rome, Bishop and Martyr. Trans Gregory Dix. (London: Alban Press, 1992)
  • J. B. Lightfoot, The Apostolic Fathers vol. i, part ii (London, 1889–1890).
  • Mansfeld, Jaap (1997). Prolegomena: Questions to be Settled before the Study of an Author or a Text. Brill Academic Publishers. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Karl Johannes Neumann, Hippolytus von Rom in seiner Stellung zu Staat und Welt, part i (Leipzig, 1902)
  • Smith, Yancy W. (2008). Hippolytus' Commentary On the Song of Songs in Social and Critical Context. Brite Divinity School at Texas Christian University. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)

Marejeo mengine

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.