Inspectah Deck
Jason Hunter (amezaliwa tar. 6 Julai 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop, rapa, mtayarishaji, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Inspectah Deck (pia anajulikana kama Rebel INS). Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la Wu-Tang Clan. Pia anajulikana kwa staili ya ushairi wake, kwa bahati mbaya, hakuambulia mafanikio mazuri ya kibiashara katika kazi zake za kujitegemea kama jinsi walivyopata wenzi wake kama vile Ghostface Killah au Method Man[1], ingawa bado anaendelea kuheshimiwa na kuendelea kutoa maujanja mapya kibao.
Inspectah Deck | |
---|---|
Deck, mjini Paris, mnamo 2013
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jason Hunter |
Pia anajulikana kama | Rebel INS, Rollie Fingers, Fifth Brother, Ayatollah, Manifesto, Charliehorse |
Amezaliwa | 6 Julai 1970 |
Asili yake | The Bronx, New York City, New York |
Aina ya muziki | Hip Hop |
Kazi yake | Rapa, mtayarishaji, mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1989 - hadi sasa |
Studio | Loud, Relativity, Koch, Urban Icon Records |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan The Housegang |
Diskografia
haririAlbamu
haririMwaka | Jina | Chati[2][3] | Matunukio ya RIAA[4] | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. Hot 100 | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
1999 | Uncontrolled Substance
|
19 | 3 | US: Gold[6] | |
2003 | The Movement
|
137 | 29 | - | |
2006 | The Resident Patient
|
- | - | - | |
2008 | The Resident Patient 2
|
Ameonekana kwenye
haririMwaka | Mwonekano[7] |
---|---|
1994 | "Mr. Sandman"
|
1995 | "Cold World"
|
"Duel of the Iron Mic"
| |
"Guillotine (Swordz)"
| |
1996 | "Assassination Day"
|
"Semi-Automatic Rap Full Metal Jacket"
| |
1998 | "Wu-Tang Cream Team Line Up" |
"One More to Go (The Earthquake)
| |
"Tres Leches (Triboro Trilogy)"
| |
"Cross My Heart"
| |
"Above the Clouds"
| |
"S.O.S."
| |
"Tru Master"
| |
"Play IV Keeps"
| |
"Spazzola"
| |
1999 | "Rumble"
|
"Make Cents"
| |
"Forget Me Nots"
| |
2000 | "The Authentic (Street)"
|
"Verbal Slaughter"
| |
2001 | "Speaking Real Words"
|
2002 | "X (Y'all Know the Name)"
|
"Sparring Minds"
| |
"Killa Beez"
| |
"Get Away From the Door"
| |
"Bump and Grind"
| |
"Always NY"
| |
2004 | "Street Rap"
|
"Silverbacks"
| |
2005 | "A Star is Born"
|
"On a Mission"
| |
"A Ha (Remix)"
| |
"Strawberries & Cream"
| |
"Spot Lite"
| |
2006 | "Move Unheard"
|
"Everything"
| |
"9 Milli Bros."
| |
"Street Corner"
| |
2007 | "Piece of the Pie"
|
"I Don't Wanna Go Back"
| |
"Rap Burglars"
| |
2008 | "You Can't Stop Me Now"
|
2009 | "You Already Know"
|
"Kill Too Hard"
| |
"Harbor Masters"
| |
"Sound the Horns"
| |
"Symphonies"
| |
"House of Flying Daggers"
| |
"Black Mozart"
| |
"Mean Streets"
| |
"Kiss The Ring"
|
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-11. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
- ↑ Billboard chartings. Accessed 29 Oktoba 2007.
- ↑ UK Album chartings. Accessed 10 Novemba 2007.
- ↑ Searchable Database. RIAA. Accessed 29 Oktoba 2007.
- ↑ allmusic ((( Uncontrolled Substance > Overview ))). Accessed 22 Agosti 2008
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-18. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
- ↑ [1]
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Inspectah Deck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |