Jeradi wa Corbie

Jeradi wa Corbie, O.S.B. (Corbie, leo nchini Ufaransa, 1025 hivi - Grande Sauve[1], karibu na Bordeaux, 5 Aprili 1095) alikuwa mmonaki padri aliyeanzisha monasteri mbalimbali chini ya kanuni ya Mt. Benedikto[2].

Mt. Jeradi katika kioo cha rangi.

Papa Selestini III alimtangaza mtakatifu tarehe 27 Aprili 1197.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Grande-Sauve or Sauve-Majeure, from Latin granda silva, "large forest". Whereas the abbey is more often referred to as Grande-Sauve, Gerald is better known as Gerald of Sauve-Majeure.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/48560
  3. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.