Eneo bunge la Bomachoge
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Bomachoge)
Eneo bunge la Bomachoge ni moja kati ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kisii.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Zedekiah Mekenye Magara | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1992 | Ferdinard Ondambu Obure | Ford-K | |
1997 | Zephaniah M. Nyang’wara | Ford-K | |
2002 | Joel Onyancha | Ford-People | |
2007 | Joel Onyancha | Ford-People | Kiti hiki kilitangazwa wazi mnamo Desemba 2008 kutokana na madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa 2007 [2] |
2009 | Simon Ogari | ODM | Uchaguzi Mdogo [3] |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapoga Kura waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Central | 2,509 | Ogembo (Mji) |
Egetuki | 4,148 | Ogembo (Mji) |
Getare | 2,017 | Ogembo (Mji) |
Tendere | 4,113 | Ogembo (Mji) |
Magena | 10,828 | Gucha county |
Magenche | 10,309 | Gucha county |
Majoge Masaba | 9,670 | Gucha county |
Misesi | 4,334 | Gucha county |
Sengera | 9,953 | Gucha county |
Total | 57,881 | |
*Septemba 2005 [4].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Daily Nation, 28 Januari 2009: Speaker free to declare Bomachoge seat vacant
- ↑ ODM triumphs in Shinyalu, Bomachoge by-elections
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency