Eneo bunge la Fafi

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Fafi)


Eneo bunge la Fafi ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Garissa, Kaskazini Mashariki mwa nchi. Lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Garissa County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Ibrahim Mohamed Salat KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Ibrahim Mohamed Salat KANU
1997 Elias Barre Shill KANU
2002 Aden Sugow KANU
2007 Aden Sugow KANU
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Bura 962
Fafi 1,319
Jara Jila 402
Masabubu 837
Nanighi 3,060
Welmerer 2,759
Jumla 9,339
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri