Eneo bunge la Funyula

Eneo bunge la Funyula ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997. Aliyekuwa Makamu wa Rais Moody Awori alikuwa akiliwakilisha jimbo hili. Kabla ya kuanzishwa kwa jimbo hili aliwahi kuwakilisha majimbo ya Uchaguzi ya Busia Kusini na Samia.[1].

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Moody Awori KANU
2002 Moody Awori NARC
2007 Paul Otuoma ODM

Wodi hariri

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Utawala wa Mitaa
Bwiri 5,552 Busia county
Funyula North 9,056 Busia county
Funyula South 9,207 Busia county
Namboboto 3,381 Funyula (Mji)
Nangina 2,220 Funyula (Mji)
Odiado 1,044 Funyula (Mji)
Wakhungu 1,493 Funyula (Mji)
Jumla 31,953
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri