Eneo bunge la Imenti Kusini
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Imenti Kusini)
Eneo bunge la Imenti Kusini ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo tisa ya Kaunti ya Meru.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Ina Wodi nane za Udiwani, yote yakichagua madiwani kwa eneo la Udiwani la Meru Central County.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo vya ziada |
---|---|---|---|
1988 | Gilbert Kabeere Mbijjewe | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1992 | Kiraitu Murungi | Ford-K | |
1997 | Kiraitu Murungi | DP | |
2002 | Kiraitu Murungi | NARC | |
2007 | Kiraitu Murungi | PNU |
Wodi za Udiwani
haririWodi a Udiwani | |
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Abogeta | 11,986 |
Igoji | 12,241 |
Igoki | 9,978 |
Kanyakine | 7,738 |
Mikumbune | 6,517 |
Mitiine | 12,393 |
Mitunguu | 7,143 |
Mkuene | 13,688 |
Jumla | 81,684 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Imenti Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |