Eneo bunge la Karachuonyo
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Karachuonyo)
Eneo bunge la Karachuonyo ni moja kati ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hilo linapatikana katika kaunti ya Homa Bay na ni moja ya Majimbo nane ya Uchaguzi katika kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Elijah Omolo Agar | KANU | |
1969 | David Okiki Amayo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | David Okiki Amayo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Phoeba Muga Asiyo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Phoeba Muga Asiyo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | David Okiki Amayo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Phoeba Muga Asiyo | Ford-Kenya | |
1997 | Peter Adhu Awiti | NDP | |
2002 | Peter Adhu Awiti | NARC | |
2007 | James Kwanya Rege | ODM |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Central Karachuonyo | 3,847 | Rachuonyo County |
Gendia / Awach | 3,331 | Kendu Bay (mji) |
Kumba / Jieri | 4,121 | Kendu Bay (mji) |
Kanyaluo | 6,371 | Rachuonyo County |
Kibiri | 6,205 | Rachuonyo County |
North West Karachuonyo | 8,076 | Rachuonyo County |
Rambira | 2,283 | Kendu Bay (mji) |
Simbi / Kogembo | 3,282 | Kendu Bay (mji) |
Wang'chieng / Karabondi | 7,905 | Rachuonyo County |
West Karachuonyo | 7,053 | |
Jumla | 52,474 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Karachuonyo Constituency Ilihifadhiwa 31 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Karachuonyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |