Eneo bunge la Lagdera


Eneo bunge la Lagdera ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Garissa, Kaskazini Mashariki mwa nchi. Lina wodi kumi, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Garissa County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Slan Ahmed Nuno KANU mfumo wa chama Kimoja
1992 Farah Maalim KANU
1997 Mohamed Mukhtar Shidiye KANU
2002 Abdillahi Sheikh Dahir KANU
2007 Farah Maalim ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Abakaile 1,086
Alango-Arba 1,486
Benane 2,921
Dadaab 3,262
Dagahaley 1,316
Damajale 1,290
Garufa 1,171
Goreale 1,325
Liboi 3,085
Modogashe 4,112
Jumla 21,054
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri