Eneo bunge la Mlima Elgon
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Mlima Elgon)
Eneo bunge la Mlima Elgon ni mojawapo ya Majimbo ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Bungoma, Magharibi mwa nchi.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Daniel Naibei Chepnoi Moss | KANU | |
1969 | Daniel Naibei Chepnoi Moss | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Daniel Naibei Chepnoi Moss | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Wilberforce arap Kisiero | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Wilberforce arap Kisiero | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Wilberforce arap Kisiero | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Wilberforce arap Kisiero | KANU | |
1997 | Joseph N. Kimkung | KANU | |
2002 | John Bomet Serut | KANU | |
2007 | Fred Kapondi | ODM |
Wodi
haririJimbo hili lina wodi 11, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la Mt. Elgon County.
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Chemoge | 4,458 |
Chepkube | 2,915 |
Cheptais | 4,532 |
Chepyuk | 5,113 |
Chesikak | 6,793 |
Chongeywo | 3,190 |
Elgon | 5,197 |
Emmia | 4,269 |
Kapkateny | 3,338 |
Kaptama | 5,453 |
Namorio | 4,911 |
Jumla | 50,169 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mlima Elgon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |