Eneo bunge la Shinyalu
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Shinyalu)
Eneo bunge la Shinyalu ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika kaunti ya Kakamega.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Japheth Livasia Lijoodi | KANU | Mfumo wa CHama Kimoja |
1992 | Japheth G. Shamalla | KANU | |
1997 | Daniel Lyula Khamasi | Ford-K | |
2002 | Daniel Lyula Khamasi | NARC | |
2007 | Charles Lugano | ODM | Lugano aliaga dunia mnamo 2009 [2]. |
2009 | Justus Kizito | ODM | Uchaguzi Mdogo [3]. |
Wodi
haririJimbo hili lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kakamega County.
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Ilesi | 6,649 |
Ivihiga | 6,057 |
Kambiri | 7,919 |
Khayega | 13,768 |
Murhanda | 9,935 |
Shibuye | 12,283 |
Jumla | 56,611 |
*Septemba 2005 [4].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Daily Nation, 4 Mei 2009: Kenya MP dies after illness Ilihifadhiwa 27 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- ↑ ODM triumphs in Shinyalu, Bomachoge by-elections
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Shinyalu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |