Kono wa Naso
Kono (jina kamili: Cono Navacita; Naso, Sicilia, 3 Juni 1139 - Naso, 28 Machi, 1236) tangu ujanani alikuwa mmonaki, padri na hatimaye abati kadiri ya nidhamu ya mababu wa Ukristo wa Mashariki katika kisiwa hicho kikuu cha Italia ya leo[1].
Aliporudi kutoka hija aliyoifanyia Nchi takatifu, alikuta wazazi wake wamekufa; hapo aliwagawia fukara urithi wake wote na kushika maisha ya ukaapweke.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90277
- ↑ March 28. Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Il devoto di San Cono, Parrocchia Santi Filippo e Giacomo, Naso.
- Pasquale Almirante, Immagini San Cono, Cuecm, Catania, 2007
Viungo vya nje
hariri- St. Conon. Catholic Online.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |