Laura wa Mt. Katerina
Laura wa Mt. Katerina (jina la awali: Laura Montoya; Jericó, Antioquía, Kolombia, 26 Mei 1874 – Medellin, Kolombia, 21 Oktoba 1949), alikuwa bikira mwalimu ambaye alijitosa kwa mafanikio makubwa kutangaza Injili kwa Waindio Wapagani akawa mwanzilishi wa shirika la Masista Wamisionari wa Maria Imakulata na wa Mt. Katerina wa Siena (1914)[1][2][3].
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 25 Aprili 2004, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Mei 2013[4], wa kwanza kutoka Kolombia[5].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Laura Montoya Upegui (1874-1949)". Vatican News Services. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint Laura of Saint Catherine of Siena". Saints SQPN. 12 Februari 2013. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint Laura of Saint Catherine of Siena". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 13 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ D'Emilio, Frances. "Pope Francis gives church hundreds of new saints". Associated Press. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Colombia's first saint a trailblazing champion of the indigenous". Fox News. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |