Lazarus Vitalis Msimbe

Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S. (amezaliwa Homboza, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, 27 Desemba 1963) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliweka nadhiri za kitawa za kwanza tarehe 8 Desemba 1987 na zile za daima tarehe 8 Desemba 1994.

Alipata ushemasi tarehe 11 Desemba 1997 na upadrisho tarehe 21 Juni 1998.

Aliwekwa wakfu na balozi wa Papa Fransisko nchini Tanzania, Marek Solczynski tarehe 19 Septemba 2021 kwa ajili ya Jimbo Katoliki la Morogoro, alilosimamia kwanza kwa niaba ya Papa huyo tangu tarehe 13 Februari 2019, halafu kama askofu wa tano tangu alipopewa uaskofusho.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.