Teresa Margerita Redi

Teresa Margerita Redi, O.C.D. (Arezzo, Toscana, Italia, 15 Julai 1747 - Firenze, Toscana, 7 Machi 1770) alikuwa bikira katika monasteri ya Wakarmeli Peku aliyefuata njia ngumu ya Ukamilifu wa Kikristo akapata umaarufu kwa karama zake za pekee.

Mt. Teresa Margerita alivyochorwa.

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 9 Juni 1929 na mtakatifu tarehe 19 Machi 1934.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Hervé Roullet, Sainte Thérèse-Marguerite Redi, Une spiritualité du Coeur de Jésus, Coll. « Saints du monde », Éd. Pierre Téqui, Paris, 2017 (Kifaransa)

Viungo vya nje hariri

  • St. Teresa Margaret of the Sacred Heart in Volume IV of the Collected Works of Blessed Edith Stein The Hidden Life: hagiographic essays, meditations, spiritual texts. Edited by Dr. L. Gelber and Michael Linssen, O.C.D. (1992) ICS Publications.
  • Teresa Margaret Redi at Patron Saints Index [1], at Catholic.org [2], at Carmelnet [3]
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.