Edith Stein

Edith Stein (12 Oktoba 1891 – 9 au 10 Agosti 1942) alikuwa mwanamke mwanafalsafa wa Ujerumani mwenye asili ya Kiyahudi, lakini baadaye akabatizwa akawa mtawa wa ndani wa shirika la Wakarmeli. Jina lake la utawani lilikuwa Teresa Benedikta wa Msalaba (kwa Kilatini: Teresia Benedicta a Cruce).

Edith Stein akionekana katika stempu ya Ujerumani.
Edith Stein na mfiadini mwenzake, padri Maximilian Kolbe, wanavyoonekana katika kioo kwa usanii wa Alois Plum huko Kassel.

Aliuawa na wafuasi wa Unazi katika moja ya makambi ya KZ kule Auschwitz (leo nchiniPoland).

Mwaka 1998 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu mfiadini, halafu pia msimamizi mmojawapo wa Ulaya.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Agosti[1]

Maandishi yakeEdit

 
Ukumbusho wa Edith Stein huko Prague, Ucheki.
 • Life in a Jewish Family: Her Unfinished Autobiographical Account, translated by Josephine Koeppel, 1986
 • On the Problem of Empathy, Translated by Waltraut Stein 1989
 • Essays on Woman, translated by Freda Mary Oben, 1996
 • The Hidden Life, translated by Josephine Koeppel, 1993
 • The Science of the Cross, translated by Josephine Koeppel, 1998
 • Knowledge and Faith
 • Finite and Eternal Being: An Attempt to an Ascent to the Meaning of Being
 • Philosophy of Psychology and the Humanities, translated by Mary Catharine Baseheart, SCN and Marianne Sawicki, 2000
 • An Investigation Concerning the State, translated by Marianne Sawicki, 2006
 • Martin Heidegger's Existential Philosophy, translated by Mette Lebech, 2007
 • Self-Portrait in Letters, 1916-1942
 • The Hidden Life

Tazama piaEdit

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edith Stein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 1. Martyrologium Romanum