Margareta Maria Alacoque

Mchoro wa Corrado Giaquinto wa mwaka 1765.

Margareta Maria Alacoque (L'Hautecour, Burgundy, Ufaransa, 22 Julai 1647Paray-le-Monial, 17 Oktoba 1690) alikuwa mwanamke mtawa aliyepata umaarufu kama mwanasala mwenye njozi.

Kufuatana nazo alieneza sana ibada kwa Moyo mtakatifu wa Yesu.

Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1864, halafu Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Mei 1920.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Gaddis, William. The Recognitions. Penguin Classics, New York, New York. 1993, pp. 66–67.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margareta Maria Alacoque kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.