Moyo Mtakatifu wa Yesu

(Elekezwa kutoka Moyo mtakatifu wa Yesu)

Moyo Mtakatifu wa Yesu ni ibada iliyoenea sana, hasa katika Kanisa Katoliki, ikielekea moyo wa Yesu Kristo hasa kama ishara ya upendo wake kwa binadamu[1]. Ibada hiyo inazingatia mateso ya kiroho na ya kimwili ambayo yamethibitisha upendo huo.

Moyo wa Yesu katikati ya kioo cha rangi, São Paulo, Brazil.
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Yesu
Yesu Kristo na Ukristo

Umwilisho  • Utoto wa Yesu  • Ubatizo
Arusi ya Kana • Utume wa Yesu • Mifano ya Yesu  • Miujiza ya Yesu
Kugeuka sura • Karamu ya mwisho • Msalaba wa Yesu  • Maneno saba
Kifo cha Yesu  • Ufufuko wa Yesu
Kupaa mbinguni  • Ujio wa pili
Injili  • Majina ya Yesu katika Agano Jipya  • Yesu kadiri ya historia  • Tarehe za maisha ya Yesu • Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi • Kiaramu • Bikira Maria • Yosefu (mume wa Maria) • Familia takatifu • Ukoo wa Yesu • Ndugu wa Yesu • Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya · Mitazamo ya Kikristo • Mitazamo ya Kiyahudi • Mitazamo ya Kiislamu • Yesu katika sanaa

Sherehe yake huadhimishwa Ijumaa inayofuata Jumapili ya pili baada ya Pentekoste, kati ya tarehe 29 Mei na 2 Julai[2].

Historia

hariri

Jinsi ilivyo kwa sasa imetokana hasa na njozi ambazo mmonaki bikira wa Ufaransa Margareta Maria Alacoque alisema amezipata katika miaka 1673 - 1675,[3] Kabla yake katika Karne za Kati watakatifu mbalimbali walipata njozi za namna hiyo, hasa Gertrude Mkuu.

Tanbihi

hariri
  1. "Opening for the Year of Priest on the 150th Anniversary of John Mary Vianney". vatican.va (kwa Kiingereza). Juni 19, 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 24, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Solemnity of the Sacred Heart of Jesus". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 29, 2018. Iliwekwa mnamo 2020-06-18. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Jean Ladame, Marguerite–Marie, La sainte de Paray, Éditions Resiac, 1994 ISBN 2-85268-118-8

Vyanzo

hariri
  • Chasle, Louis; Sister Mary of the Divine Heart, Droste zu Vischering, religious of the Good Shepherd, 1863–1899. Burns & Oates, London, 1906.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moyo Mtakatifu wa Yesu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.