Maria Yosefa wa Moyo wa Yesu

Maria Yosefa wa Moyo wa Yesu (jina la awali kwa Kihispaniaː María Josefa Sancho de Guerra; Vitoria, Hispania, 7 Septemba 1842 - Bilbao, Hispania, 20 Machi 1912) alikuwa sista mwanzilishi wa shirika la Watumishi wa Yesu wa Upendo ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia wagonjwa na wenye shida nyingine[1][2].

Picha yake halisi ya mwaka 1910 hivi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 1992 na mtakatifu tarehe 1 Oktoba 2000[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saint Maria of the Heart of Jesus (Sancho de Guerra)". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 4 July 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "MARIA JOSEFA OF THE HEART OF JESUS SANCHO DE GUERRA (1842-1912)". Holy See. Iliwekwa mnamo 4 July 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Saint Maria Josefa Sancho de Guerra". Saints SQPN. 19 March 2013. Iliwekwa mnamo 3 July 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.