Maria wa Msalaba MacKillop

Maria wa Msalaba MacKillop (Melbourne, Australia, 15 Januari 1842 - Sydney, Australia, 8 Agosti 1909) alikuwa sista mwanzilishi mwenza wa shirika la kitawa la Masista wa Mt. Yosefu wa Moyo Mtakatifu ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia hasa wasichana fukara wasio na elimu.

Picha yake halisi (1869).

Aliongoza shirika hilo hadi kifo chake kati ya wingi wa matatizo, masingizio na dharau [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 19 Januari 1995, halafu Papa Benedikto XVI akatangaza mtakatifu tarehe 17 Oktoba 2010[2], wa kwanza mzaliwa wa Australia[3][4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/65475
  2. "Canonization for Mary MacKillop underway", 17 October 2010. 
  3. "MacKillop has become Australia's first saint", ABC News, 20 Desemba 2009, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Juni 2011, iliwekwa mnamo 19 Desemba 2009{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Nun becomes first Australian saint.", Al Jazeera, 17 October 2010. 
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.