Marselino Champagnat

Marselino Champagnat (jina kamili kwa Kifaransa: Marcellin Joseph Benedict Champagnat; St. Etienne, Loire, 20 Mei 1789Marlhes, 6 Juni 1840) alikuwa padri wa Ufaransa.

Mchoro wake rasmi.

Alisaidia kuanzisha Shirika la Maria halafu alianzisha tawi lake kwa mabradha tu ambao wajitose katika malezi ya vijana kulingana na mahitaji ya nchi yake wakati huo.

Siku hizi mabradha hao ni 5,000 hivi na wanaishi katika nchi 74 tofauti.

Alitangazwa na Papa Pius XII kuwa mwenye heri tarehe 29 Mei 1955, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Aprili 1999.

Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Marejeo mengine hariri

  • Marcellin Champagnat. A man for our times. Br. Giorgio Diamant and Mario Meuti, Elio Dotti. GRAFISTAR - Giugliano (Napoli).
  • Br. Jose M. Ferre, fms. Letters to a young friend by Marcellin Champagnat.Marist Brothers of Schools. Marist Publications.
  • McMahon, FMS, Brother Frederick. Strong Mind, Gentle Heart. (Drummoyne, NSW: Marist Brothers, 1988).
  • Farell FMS, Brother Stephen. Achievement from the Depths. (Drummoyne, NSW: Marist Brothers, 1984).

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.