Majimbo ya Ethiopia

(Elekezwa kutoka Mikoa ya Ethiopia)

Majimbo ya Ethiopia ni vitengo vikuu vya kujitawala chini ya ngazi ya kitaifa katika muundo wa shirikisho la Ethiopia.

Kuna majimbo 9 yanayogawiwa kwa msingi wa lugha kuu zinazotumiwa katika jimbo pamoja na majiji 2 yenye hadhi ya jimbo (astedader akababiwach, umoja: astedader akabibi) ambayo ni Addis Ababa na Dire Dawa.

Hii ni orodha ya Majimbo (wingi - kililoch; umoja – kilil) ya Ethiopia:

Orodha

hariri
Ramani Jimbo Mji mkuu Eneo (km²) Wakazi (2005) Lugha kuu za jimbo
    Addis Abeba Addis Abeba 530 3.627.934 --
  Afar Asayita 96.707 1.389.004 Kiafar
  Amhara Bahir Dar 159.174 19.120.005 Kiamhara
  Benishangul-Gumuz Asosa 49.289 align=center Kiberta, Kigumuz
  Dire Dawa Dire Dawa 1.213 398.934 Kioromo, Kiamhara, Kisomali
  Gambela Gambela 25.802 247.000 Kinuer, Kianuak
  Harari Harar 374 196.000 Kiaderi; Kioromo, Kisomali
  Oromia Adama 353.362 25.125.000 Kioromo
  Somali Jijiga 279.252 4.329.000 Kisomali
  Mataifa ya Kusini Awasa 93.800 11.426.000 Kiwolaytta, Kihadiyya, Kigurage na nyingine
  Tigray Mekele 50.078 4.334.996 Kitigray
  Sidama Awasa 12.000 3.200.000 Kisidama

Tazama pia

hariri


 
Majimbo ya Ethiopia
 
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray