Mtakatifu Plasido
Mtakatifu Plasido, O.S.B. (Roma, 515- Messina, 541) alikuwa tangu ujanani mmonaki wa Italia, mfuasi mpendwa wa Benedikto wa Nursia, kama inavyoelezwa na Gregori Mkuu katika kitabu "Majadiliano".
Alitumwa Sicilia kuanzisha monasteri nyingine, na huko inasimuliwa kuwa yeye, ndugu zake watatu na wamonaki 30 walivamiwa na kuuawa na maharamia Wavandali wenye chuki kwa Kanisa Katoliki, lakini habari hiyo haina uthibitisho[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/73000
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN 88-209-7210-7)
Vyanzo
hariri- Gardner, Edmund G. (editor) (1911. Reprinted 2010). The Dialogues of Saint Gregory the Great. Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 978-1-889758-94-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-07. Iliwekwa mnamo 2020-10-03.
{{cite book}}
:|first=
has generic name (help); Check date values in:|year=
(help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Holy Rule of St. Benedict Ilihifadhiwa 3 Januari 2007 kwenye Wayback Machine. - Online translation by Rev. Boniface Verheyen, OSB, of St. Benedict's Abbey
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |