Matokeo

Kuangalia upya orodha ya Wakabidhi kwa Mwaka 2020 na utaratibu wa kupiga kura

Hatujasahihisha orodha ya wakabidhi tangu 2014; wengine hawaonekani tena, na kazi inafanywa na wachache mno. Tunahitaji A) mapatano jinsi ya kuondoa wale ambao hawapo tena na B) wakabidhi wa nyongeza.

Utaratibu wa kupiga kura

Utaratibu ufuatao umekubaliwa kati ya wakabidhi waliopo (tazama ukurasa wa majadiliano)

a) Mpiga kura awe aliyewahi kuandikishwa tangu mwezi 1 (hatutaki waliojiandikisha jana kwa kumpigia kura rafiki leo)
b) aliyewahi kuhariri makala 3 kwenye swwiki (nje ya ukurasa wake mwenyewe; haitoshi kutunga/kusahihisha makala 1-2 pekee)
c) aliyehariri katika miezi 12 kabla ya kura yetu

A.) Pendekezo la kuwa na wakabidhi hai

Kulingana na utaratibu jinsi ilivyo katika wikipedia nyingi inapendekezwa

A) Mkabidhi ambaye hajahariri kwa miezi 12 anaondolewa haki zake za ukabidhi; akirudi anaweza kurudishwa kwa mapatano ya wakabidhi waliopo
B) Mkabidhi aliyepo na kuhariri ataendelea (linganisha orodha juu kabisa)

Ukubali au upinge pendekezo hili; bofya "hariri chanzo" upande wa "Ninakubali" au "Sikubali" na weka alama ya ~~~~ kama sahihi yako. Anzisha kila mstari mpya kwa alama ya *

Ninakubali Pendekezo A) IMEKUBALIWA (kura 11 halali, kura 1 ya mtumiaji asiye na michango ya kutosha), bila pingamizi

Sikubali Pendekezo A)

B.) Pendekezo la kuchagua wakabidhi wapya

  • Unaweza kuangalia michango ya mtumiaji kwenye miradi yote ukiandika username hapa

*Kwa kila jina linalotajwa kuna historia fupi ya kuhariri kwake: idadi ya kuhariri katika swwiki, (katika miradi mingine), lini alichangia mara ya mwisho kabla ya tar. 1 Septemba 2020

Hapa tutaje jina la mtumiaji. Tutafakari vema kama maarifa yake na historia ya uhariri vitamsaidia kutekeleza wajibu. Andika jina lake badala ya "NN" na weka alama (sahihi) yako ya ~~~~ kwa "Nakubali". Kama huna jina la kupendekeza, angalia waliotajwa/waliopendekezwa tayari na uweke alama (sahihi) yako baada ya "Nakubali" / "Sikubali". Baada ya siku 10 (tarehe 14 Septemba 2020) zoezi la upigaji kura litafungwa na matokeo yatatangazwa.

  • Czeus25 Masele (AMEPITA: kura halali 11 wamekubali, hakuna aliyepinga, kura 2 za watumiaji wasio na michango ya kutosha) tayari


Alihariri: swwiki mara 1,393 (commons mara 2,543), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 31 Agosti 2020

'Nakubali:'Aneth David (majadiliano) 11:18, 4 Septemba 2020 (UTC), Kipala (majadiliano) 08:36, 4 Septemba 2020 (UTC)BrixL (majadiliano) 10:25, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 4 Septemba 2020 (UTC)--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC)- Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC)-RollarTz (majadiliano) 05:42, 5 Septemba 2020 (UTC) Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 17:31, 4 Septemba 2020 (UTC)̠ Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

  • Ebenezer Mlay (AMEPITA: kura halali 9 wamekubali, hakuna aliyepinga)

Alihariri: swwiki mara 500 (commons mara 1,671), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 15 Agosti 2020

Nakubali: Idd ninga (majadiliano) 06:56, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 4 Septemba 2020 (UTC)--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC)- Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) ana maarifa pande mbalimbali, mtumiaji hai--Kipala (majadiliano) 11:21, 5 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

  • Idd ninga (AMEPITA: kura halali 10 wamekubali, hakuna aliyepinga) tayari

Alihariri: swwiki mara 1,242 (commons mara 42, wikidata mara 143), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 30 Agosti 2020

Nakubali:--Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 4 Septemba 2020 (UTC)--;Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC); ana maarifa mazuri, mwanawikipedia hai Kipala (majadiliano) 14:00, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC) —Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 17:25, 4 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

  • Olimasy (AMEPITA:kura halali 9 wamekubali, hakuna aliyepinga) tayari


Alihariri: swwiki mara 827 (enwiki mara 13) , mara ya mwisho kabla ya Septemba:18 Agosti 2020

Nakubali:--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:56, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC) Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) ana maarifa, mtumiaji haiKipala (majadiliano) 11:18, 5 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

Alihariri: swwiki mara 57 (commons mara 73), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 16 Mei 2020

Nakubali:--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:56, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC) Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 17:31, 4 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)


Sikubali:anaweza kufaa lkn amehariri kidogo mno pia hakuonekana miezi 3 Kipala (majadiliano) 15:11, 4 Septemba 2020 (UTC)

  • Manguboy(AMEPITA: kura 7 halali wamekubali, 1 hakukubali) tayari

Alihariri: swwiki mara 696 (enwiki mara 38), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 30 Mei2020

Nakubali:--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:00, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC)- Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali: ana maarifa lkn hajaingia tangu miezi 3 Kipala (majadiliano) 15:11, 4 Septemba 2020 (UTC)