Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Ndugu, ulibadilisha nyota kadhaa kutoka ngeli ya "i-zi" kwenda "li-ma" ambayo si Kiswahili sahihi. Mfano "Sigma Octantis iko karibu" ulipeleka "Sigma Octantis liko karibu". Nimerudisha mara kadhaa sijapata muda kuangalia yote. Ilhali wewe bado mgeni heri utumie kwanza ukurasa wa majadiliano kabla ya kubadilisha! Kipala (majadiliano) 14:05, 20 Julai 2019 (UTC)

Ndugu, hongera kwa michango yako. Hata hivyo angalia nilivyoboresha namna moja michango ya mwisho ili ufanye mwenyewe katika makala zijazo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:59, 6 Novemba 2019 (UTC)
Naona unazidi kukamilika. Sasa uzoee kuunganisha ukurasa wa Kiswahili na zile za lugha nyingine. Kiungo kinapatikana pembeni kushoto, ilipoandikwa "Add link". --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:29, 11 Novemba 2019 (UTC)

InterwikiEdit

Asante kwa makala za wanariadha. Lakini naomba upitilie tena zote. Umesahau "interwiki", yaani kuunganisha makala yako na lugha zingine. Hii unafanya mwishoni -kama mada ina makala katika enwiki au wikipedia nyingine- kwa kubofya kushoto-chini (nje ya sehemu ya kuhariri) kwa "Lugha- Add links", halafu ingiza "enwiki" dirisha la juu na jina la makala husika dirisha la chini, hakikisha ni sawa, halafu uthibitishe. 197.250.225.2 20:43, 7 Desemba 2019 (UTC)

Mashindano ya pichaEdit

Ndugu, usijidanganye kwamba utashinda tuzo kwa kubadilisha maneno ya kuelezea picha zilizomo tayari katika makala za Wikipedia... Ni lazima uongeze picha pale ambapo hazipo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:02, 15 Agosti 2020 (UTC)

Ndugu Riccardo Riccioni, mimi sishiriki katika mashindano ila najaribu kuangalia sehemu ambazo washiriki wa mashindano wamefanya nakujaribu kuongeza ubora na kusahihisha sehemu ambazo naona zinaweza zikawa bora zaidi. Je ni vibaya kufanya hivi? Amani kwako pia! Nashukuru sana.
Hiyo si mbaya, lakini kama ni hivyo hutakiwi kuandika katika muhtasari #WPWP #WPWPTZ, la sivyo unaonekana tapeli... Basi, endelea na juhudi zako. Tupo pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:25, 15 Agosti 2020 (UTC)
Asante

Uteuzi kuwa mkabidhiEdit

Salaam! Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 07:44, 13 Septemba 2020 (UTC)