Eneo bunge la Imenti Kaskazini
(Elekezwa kutoka North Imenti)
Eneo bunge la Imenti Kaskazini ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya.
Ni moja kati ya majimbo tisa ya Kaunti ya Meru.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa kwa uchaguzi wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo zaidi |
---|---|---|---|
1988 | Jackson Harvester Angaine | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Daudi Mwiraria | DP | |
1997 | Daudi Mwiraria | DP | |
2002 | Daudi Mwiraria | NARC | |
2007 | Silas Muriuki | Mazingira |
Wodi za udiwani
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliosajiliwa | |
---|---|---|
Cathedral | 3,242 | Munisipali ya Meru |
Central | 3,095 | Munisipali ya Meru |
Chugu | 9,576 | Meru Central County |
Commercial | 3,281 | Munisipali ya Meru |
Gakoromone | 3,189 | Munisipali ya Meru |
Giaki | 6,368 | Meru Central County |
Hospital | 3,606 | Munisipali ya Meru |
Kaaga | 4,254 | Munisipali ya Meru |
Kiirua | 10,848 | Meru Central County |
Kirimara | 9,101 | Meru Central County |
Kisima | 6,201 | Meru Central County |
Milimani | 2,891 | Munisipali ya Meru |
Mwendantu | 2,271 | Munisipali ya Meru |
Ntakira | 9,913 | Meru Central County |
Ontulili | 4,882 | Meru Central County |
Ruiri | 7,629 | Meru Central County |
Stadium | 4,975 | Munisipali ya Meru |
Thuura | 7,179 | Meru Central County |
Jumla | 102,501 | |
*Septemba 2005
[2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Imenti Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |