Nyanda za Juu za Guyana

.

Guiana Shield
Region
Kukenan Tepuy at Sunset.jpg
Countries French Guiana, Suriname, Guyana, Brazil, Venezuela, Colombia
Continent South America
Region northern South America
Length 2,000 km (1,243 mi), E-W
Width 1,000 km (621 mi), N-S
Area 2,288,000 km² (883,402 sq<span typeof="mw:Entity"> </span>mi)
Period Precambrian
Ramani ya Nyanda za Juu za Guyana.
Nyanda za Juu za Guyana

Nyanda za juu za Guyana (kwa Kiingereza: Guiana Shield) ni eneo la milima kaskazini mashariki mwa Amerika ya Kusini. Kijiolojia ni miamba ya kale sana inayofanya hapa sehemu ya pwani ya kaskazini ya Amerika Kusini. [1]

Kati ya milima ya sehemu hizi kuna milima ya meza inayoitwa hapa tepuis.

MajinaEdit

Nyanda za juu za Guiana zinajulikana katika lugha nyingine za mazingira kama:

  • Kifaransa: Plateau des Guyanes au Bouclier guyanais;
  • Kiholanzi: Hoogland van Guyana
  • Kihispania: Escudo guayanés au Macizo Guayanés;
  • Kireno: Planalto das Guianas or Escudo Guianês.

Guyana hutumiwa wakati mwingine kama jina la pamoja kwa Guyana, Surinam na Guyana ya Kifaransa; wakati wa ukoloni nchi hizi tatu ziliitwa Guyana ya Kiingereza, ya Kiholanzi na ya Kifaransa.

JiografiaEdit

 
Cerros de Mavecure, Wilaya ya Guainía, Colombia.

Kijiografia nyanda za juu hizi zinaenea hadi ndani ya Kolombia, Venezuela na Brazil.

MilimaEdit

Nyanda za juu za Guiana huundwa kwa tambarare ndogo za juu na safu za mlima. Milima mirefu zaidi inapatikana upande wa magharibi, kuanzia Venezuela.

Mito na maporomoko ya majiEdit

Mito mingi huanzia kwenye nyanda za juu za Guyana na nyingi hutiririkia kaskazini, kuingia Bahari ya Atlantiki. Baadhi yake ni:

PichaEdit

MarejeoEdit

  1. (2005) "1 Ancient Land in a Modern World", Tropical Forests of the Guiana Shield (PDF), CAB International. 

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyanda za Juu za Guyana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.