Papa Agatho

Papa Agatho alikuwa Papa kuanzia tarehe 27 Juni 678 hadi kifo chake tarehe 10 Januari 681[1]. Alitokea Sicilia, Italia[2].

Papa Agatho.

Inasemekana kwamba alikuwa na umri wa zaidi ya miaka mia moja alipochaguliwa kuwa Papa.

Alimfuata Papa Donus akafuatwa na Papa Leo II.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Kanisa Katoliki linaadhimisha sikukuu yake tarehe 10 Januari[3], lakini Waorthodoksi tarehe 20 Februari.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Agatho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.