Papa Leo II

Mt. Leo II.

Papa Leo II (jina la awali lilikuwa Leo Maneius) alikuwa papa kuanzia 17 Agosti 682 hadi kifo chake tarehe 3 Julai 683.

Mzaliwa wa kisiwa cha Sisilia au wa mkoa wa Calabria, Italia Kusini, jina la baba yake lilikuwa Paulo Manejo.

Alimfuata Papa Agatho, akafuatwa na Papa Benedikto II.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.