Papa Eugenio I
(Elekezwa kutoka Papa Eugene I)
Papa Eugenio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Agosti 654 hadi kifo chake tarehe 2 Juni 657[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Baba yake aliitwa Rufinianus.
Alimfuata Papa Martin I akafuatwa na Papa Vitalian.
Serikali ya Dola la Roma Mashariki ilimpitisha kwa kudhani atakubali kuunga mkono uzushi uliofundisha kuwa Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu, kumbe mapadri walimlazimisha kushika msimamo wa mtangulizi wake aliyepelekwa uhamishoni akafa huko.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- The Book of Saints, by the Ramsgate Benedictine Monks of St. Augustine's Abbey
Viungo vya nje
hariri- Kuhusu Papa Eugenio I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Saints.SQPN: Pope Eugene I
- Catholic Online: Pope Eugene I
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |