Papa Yohane II

(Elekezwa kutoka Papa John II)

Papa Yohane II alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Desemba 532/2 Januari 533 hadi kifo chake tarehe 8 Mei 535[1]. Alitokea Roma, Italia[2] na kuitwa kwanza Mercurius. Kwa kuwa hilo lilikuwa jina la mungu mmojawapo wa Kirumi alilibadilisha, akiwa labda mwanzilishi wa desturi hiyo ya Papa kujichagulia jina jipya[3].

Papa Yohane II.

Alimfuata Papa Boniface II akafuatwa na Papa Agapeto I.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  3.   One or more of the preceding sentences incorporates text from a publication now in the public domainMann, Horace K. (1910). "Pope John II". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 8. Robert Appleton Company.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.