Papa Callixtus I

(Elekezwa kutoka Papa Kalisto I)
Papa Kalisto I.

Papa Callixtus I alikuwa papa kuanzia takriban 217 hadi kifodini chake takriban 222.

Alimfuata Papa Zefirino akafuatwa na Papa Urbano I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 14 Oktoba.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  • J.N.D. Kelly, Oxford Dictionary of the Popes, 2nd edition (Oxford University Press, 2006), 13-4.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Callixtus I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.